У нас вы можете посмотреть бесплатно MAUAJI MORO: WAFUGAJI WAWILI WAUAWA KIKATILI na WAKULIMA, DC MSANDO ATOA MAAGIZO MAZITO... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MAUAJI MORO: WAFUGAJI WAWILI WAUAWA KIKATILI na WAKULIMA, DC MSANDO ATOA MAAGIZO MAZITO... WATU wawili ambao ni wafugaji wa jamii ya kimasai katika Kata ya Kolero Halmashauri ya Wilaya ya Morogoro wamefariki dunia na wengine watano kujeruhiwa katika vurugu zilizohusisha wakulima na wafugaji na kusababisha wakulima kukamata ng'ombe zaidi ya 800 wilayani humo. Kwa mujibu wa mashuhuda wa tukio hilo la vurugu, wamasai walivamiwa na wakulima na kusababisha vifo vya watu hao wawili huku mwili wa marehemu mmoja hadi sasa ukiwa haujulikani ulipo. Akitoa maelekezo ya Serikali baada ya kufikia eneo la tukio, Mkuu wa Wilaya ya Morogoro, DC Albert Msando amesema kutokana na vifo hivyo sasa ni lazima ng'ombe wote waondolewe katika kata hiyo ili kuwawezesha wakulima kuendekea na shughuli zao za kilimo bila hofu. ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 657 693 210), ( +255 713 750910) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline