У нас вы можете посмотреть бесплатно Shamsa Ford Amchana Mama Kanumba! "Tuache Kulaumiana" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Shamsa Ford Amchana Mama Kanumba! "Tuache Kulaumiana" Muigizaji nguli nchini, Shamsa Ford, amemchana mama mzazi wa marehemu Kanumba, Flora Mtegoa, kwa kumwambia aache kuwatupia lawama wasanii wa Bongo muvi kwa kushindwa kufika makaburini siku ya maadhimisho ya kumbukumbu ya kifo cha mwanae. Shamsa amesema kwa sasa maisha ni magumu sana, na siyo wasanii wote wangeweza kufika makaburini hapo na kitendo cha kutofika haimaanishi kwamba wamemsusia, hivyo asiwe mwingi wa kulaumu, kwani wasanii wengine hulitembelea kaburi hilo mara kwa mara. Katika hatua nyingine Shamsa amesema anamsapoti kwa asilimia mia mkuu wa mkoa wa Dar es Salaam, Paul Makonda, kwa kuanzisha zoezi la kuwasikiliza wanawake waliotelekezewa watoto na wanaume zao bila ya kutoa huduma yoyote. Shamsa ambaye naye ni mhanga wa tatizo hilo, kwani anadai ametelekezewa mtoto mmoja anayefahamika kwa jina la Terry, hivyo kumtaka baba wa mtoto huyo kujiandaa kwani siku atakayoamka akili zake zipo kushoto atamkuta ofisini kwa Makonda. Shamsa amebainisha kuwa wanawake waliotelekezewa watoto wana kutana na changamoto kubwa sana, japokuwa kwa sasa mwanae analelewa vyema tu na mumewe, mfanyabiashara Chiddi Mapenzi, lakini bado atapigana kutafuta haki ya mwanae ya kulelewa na kuhudumiwa na baba yake mzazi ambaye yupo na ana uwezo wa kumlea. Install #GlobalPublishersApp Android: http://bit.ly/2AAQe1d iOS: http://apple.co/2Assf4M Subscribe / uwazi FACEBOOK: / globalpublis. . TWITTER: / globalhabari Visit https://globalpublishers.co.tz/, Subscribe / uwazi1 kupata video nyingine za aina hii, subscribe kwenye chanell yetu kwa kubofya… / uwazi1 / uwazi1 / uwazi1 WEBSITE: https://globalpublishers.co.tz/ FACEBOOK: / globalpublis. .