У нас вы можете посмотреть бесплатно BORA UFUTA KULIKO KOROSHO-WAKULIMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Baadhi ya Wakulima wa zao la Korosho wa wilaya za Tandahimba na Newala, wanaamua kujikita katika kilimo cha Ufuta, baada ya kuona bei ya zao hilo inazidi kushuka kila mwaka. Wakizungumza leo Mei 10, 2023 nje ya ukumbi wa shule ya sekondari Nambunga, Wilayani Newala ulipofanyika mkutano mkuu wa kawaida wa chama kikuu cha Tandahimba, Newala Cooperative Union (TANECU), wamesema wameona bora kulima Ufuta ambao hauna gharama kubwa kuandaa mashamba kama ilivyo kwenye Korosho. PIA USIACHE KU SUBSCRIBE CHANNEL YETU Khomein Tv YOUTUBE UWE WAKWANZA KUFIKIWA NA HABARI ZETU