У нас вы можете посмотреть бесплатно Part 1:Aliyekuwa Mfalme wa Wachawi Afunguka -Nilipewa kazi ya kuuwa watu,kutegesha Ajali barabaran или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KAMA UNAMKASA WOWOTE UNAHITAJI KUSHARE NA SISO KARIBU TUPIGIE KUPITIA 0716909567 Kwenye Maisha Yetu Ya Kila Siku Yapo Mambo Ambayo Yanatokea, Yapo Tunayoyaona Lakini Yapo Ambayo Hatuna Uwezo Wa Kuyaona ( Ulimwengu Wa Giza). Kupitia Ngasa Tv Hichi Hapa Kisa Cha Pendo Conrad Mushi, Mwanamke Ambae Ameishi Kwenye Ulimwengu Wa Kuzimu Kwa Miaka 30. Pendo Alishawishia Na Jirani Yao Na Kujiunga Na Uchawi Akiwa Na Umri Mdogo Sana. Pendo Ameamua Kusimulia Yote Alioyafanya Kipindi Akiwa Anashirikiana Na Wachawi, Alimfanya Baba Yake Msukule, Alimpandikiza Mama Yake Kisukari , Aliwafunga Wadogo Zake Akili, Kushiriki Ngono Na Wachawi , Kusababisha Ajali, Kufukua Miili Ya Watu Makaburini, Kugombanisha Ndoa Za Watu , Kuwaingilia Kimwili Watu, Na Vingine Vingi. Leo Hii Pendo Mushi Anajuta Kwa Yote Hayo, Na Ameamua Kuzungumza Na Jamii Kwa yote aliyoyafanya Na Kuomba Mungu , Jamii , Familia Na Wote Aliowasababishia Maumivu Wamsamee. Tafadhali Ingia YouTube Tafuta : Ngasatvdodoma kufatilia Kisa Chote Cha Pendo Mushi. #Ngasatvdodoma. #ngasatv @bossngasadodoma @mshuaramy_ Karibu Ngasa Media - Tunatoa huduma Zifuatazo MEDIA COVERAGE 1.Goverment Events 2.Social Events 3.Documentary 4.Live Streaming 5.Zoom Meting 6.Photo & Videograph BUSINESS ADVERTISEMENT #Hotel #Appartiment #Restaurant #Supermakert #Hall #Sallon #New Business PTINTING 1.Banner 2.Sticker & Flyers 3.Brochures 4.Business Card 5.Graphics Design 6.Logo Design 7.Tshirt Printing Call Us 0716909567 0766909567 DODOMA