У нас вы можете посмотреть бесплатно Aliolewa na familia ya kitajiri kumbe yeye ni jambazi или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hadithi hii inamsimulia Mandima, mwanamke mrembo aliyeolewa na familia ya kitajiri kwa nia ya kisasi na tamaa ya mali. Kwa msaada wa genge hatari linaloongozwa na Kassim, Mandima anapanga kuwaibia familia ya Mkwawa na kuwafilisi kabisa. Lakini mambo yanapogeuka, anaanza kumpenda Jamal – mume wake – kwa dhati, na vita kati ya upendo na uhalifu inamfanya achague upande. Hadithi hii ina mapenzi, usaliti, wizi, genge la uhalifu, risasi, vita vya kihisia, drama za kifamilia, na mabadiliko ya maisha. Ni hadithi ya msisimko na mashaka, kila tukio likizidi kuwa tamu na ya kukufanya ushindwe kuiacha hadi mwisho. Hadithi hii ni hadithi ya kufikirika niliyoiandika mimi mwenyewe ili kuleta funzo na elimu kwa jamii msimuliaji wako ni mimi chasimba karibu sana. Hapa tunasimulia hadithi zenye mafunzo, mapenzi yenye majonzi na furaha, mahusiano yanayovunjika na kujengwa tena, na visa vya ajabu vya majini, mapepo, na ulimwengu wa giza usioelezeka. Kila simulizi lina mguso wa kipekee, wa kusisimua na wenye mafundisho ya maisha. 👂Usikose kila hadithi — bonyeza subscribe, like na comment ili kusapoti chaneli yetu! https://www.instagram.com/chasimba_u2... / 1dbvltshah #HadithiZaMapenzi #SimuliziZaKweli #DramaZaMapenzi #VisaVyaAjabu #Mahusiano #HadithiZaMajini #Chasimba #MaishaYaWatu #StoryTeller #KiswahiliStories #HadithiZaKiswahili #DramaZaMaisha #HadithiZaKweli #KisaChaMaumivu #SimuliziZaUsaliti