У нас вы можете посмотреть бесплатно Viongozi mbali mbali wamewatakia wakenya heri njema na kuwasitiri или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
huku ulimwengu ukisherehekea sikukuu ya krismasi, viongozi mbali mbali wamewatakia wakenya heri njema na kuwasitiri wale wasiojiweza katika jamii. wakiwataka kuishi kwa amani na upendo. Hii leo kiongozi wa wengi katika bunge la kaunti ya Bungoma Joseph Nyongesa na mwakilishi wadi ya bukembe west calep wanjala watakia heri njema wakaazi wa wadi ya tutii marakaru na kaunti ya bungoma kwa ujumla, akiwahimiza wajnaojiweza katika jamii wasiwasahau wale wachochole wakati huu wa sherehe . viongozi hao pia wamezitaka asasi za usalama kudumisha doria, kuhakikisha wananchi hawahangaishwi msimu huu , huku pia akiwatakia madereva na watumiaji wengine wa bara bara kuwa wangalifu wakati huu ambapo visa vya ajali vimeongezeka. wameyasema haya wakati wa kuwapa chakula wananchi kutoka wadi ya tutii marakaru na bukembe west chakula cha sikuku nyumbani kwake.