У нас вы можете посмотреть бесплатно PART 1: MBOWE ACHARUKA LISSU KUGOMBEA "KUHUSU KUNG'ATUKA" SALIM KIKEKE AMHOJI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MBOWE ACHARUKA KUHUSU LISSU "KUHUSU KUNG'ATUKA" SALIM KIKEKE AMHOJI Mwenyekiti wa Chama Cha Demokrasia na Maendeleo (CHADEMA) ngazi ya Taifa ambaye pia ni mgombea wa nafasi hiyo hiyo kwenye uchaguzi mkuu wa chama hiko unaotarajiwa kufanyika mwisho wa mwezi wa Januari 2025 kwa mara ya kwanza ameketi kwenye mahojiano na chombo cha habari tangu alipotoka kifungoni, Mbowe amefanya mahojiano na Salim Kikeke kwenye kipindi cha KASRI cha CROWN FM 92.1 kwa saa 1 na nusu na hii ni sehemu ya kwanza ya mahojiano hayo kuelekea uchaguzi huo baada ya mtafaruku mkubwa kuzuka kati yake na mgombea mwenzake ambaye ni Makamu Mwenyekiti wa sasa wa chama hiko Tundu Antipas Lissu. #chadema #mbowe #lissu #trending Hii ni CROWN MEDIA, 92.1 CROWN FM & CROWN TV Follow us on Social Media Platforms Instagram: Crown FM - / crownfmtz Crown TV - / crowntvtz Twitter (X): CROWN MEDIA SWAHILI: / crownmediatz CROWN MEDIA ENGLISH: / crownmediaen Facebook: CROWN MEDIA: https://www.facebook.com/profile.php?... TIKTOK: https://www.tiktok.com/@crownmedialiv... SUBSCRIBE & WATCH OUR SHOWS: / @crownmediatz