У нас вы можете посмотреть бесплатно Israel Mbonyi - Nitaamini или скачать в максимальном доступном качестве, которое было загружено на ютуб. Для скачивания выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
stream at https://bfan.link/nita-amini Keep up with Israel Mbonyi at https://israelmbonyi.com / israelmbonyi / israelmbonyii / israembonyi / israelmbonyi Contacts : Information : [email protected] Bookings : [email protected] Nita Amini ____________ Verse : Sasa naapa Hakuna miungu ntaamini Satajitia unajisi , Chakula cha ufalme Na Sitauza urithi wa wokovu, anasa za Kisasa NiNa uhakika waweza , waweza kuniponya, Hata usipo niponya Sitaabudu Masanamu Chorus : Naelewa maji na moto nitapita, Kwenye uvuli wa mauti Nina wewe sitaogopa kamwe Mungu wangu wanishika mkono,Wautuliza moyo wangu, Si na mashaka wanibeba mgongoni Waweza tuma neno la uzima, libadishe yote Hata usiyafanye hayo yoote, Bado nitaamini Verse : Si Mara y’a kwanza kunitowa katika magumu Ni na ushuhuda zaidi ya moja, We ni mwaminifu Ni na historia maalum,We ni chemchem ya uzima. Outro : Nitaamini, bado nitaamini Ukiniponya nitaamini, Hata usiniponye bado nitaamini Ukinijibu nitaamini , Hata usinijibu bado nitaamini Ukibadilisha nitaamini , Hata usibadilishe bado nitaamini Kwenye uvuli wa mauti bado nitaamini Nina ushuhuda, wewe ni mwaminifu ©12stonesRecord