У нас вы можете посмотреть бесплатно Waridi wa BBC: Abby Chams azungumzia changamoto zinazowakabili wanamuziki wa kike или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ana miaka 18 tu lakini Abigail Chamungwana maarufu Abby Chams @abby_chams anaendelea kuimarika zaidi kimuziki ndani na nje ya Tanzania. • Abby anasema kwamba kwa miaka mingi tangu aanze safari ya muziki amekabiliwa na changamoto nyingi ikiwemo kutongozwa na watayarishaji wa muziki na waelekezi wa video • Na si hayo tu baadhi ya rafiki zake wakati huo walionekana kuwa na muda wa kutangamana na kufanya mambo mengi ya ujana, Abby anakiri alipitia Sonona. • Abby Chams ndiye aliyekuwa mgeni wetu wa leo katika kipindi cha Waridi wa BBC jukwaa la wanawake inayokujia kila siku ya Jumatano mwendo wa saa nne asubuhi mubashara kwenye ukurasa wetu wa BBCSwahili kwenye mtandao wa Facebook na @annengugi #waridiwabbc #AbbyChams #wanawake