У нас вы можете посмотреть бесплатно JE , WAJUWA MAANA YA ARDHI ? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Je, unafahamu maana halisi ya ardhi na umuhimu wake katika maendeleo ya jamii? Ungana na mtaalamu wa Ardhi na Mipango Miji wa Halmashauri ya Mji Njombe Ndg.Emmanuel Luhamba kwenye mjadala utakaokupatia maarifa na uelewa mpana kuhusu masuala ya ardhi. Kupitia uzoefu na taaluma yake, utapata ufafanuzi wa kina kuhusu dhana ya ardhi, matumizi sahihi ya ardhi, mipango miji, pamoja na mchango wake katika maendeleo endelevu ya miji na ustawi wa wananchi. Hii ni fursa kwa mwananchi kujifunza, kuuliza maswali ili kuongeza uelewa wako kuhusu rasilimali hii muhimu ya Ardhi.