Π£ Π½Π°Ρ Π²Ρ ΠΌΠΎΠΆΠ΅ΡΠ΅ ΠΏΠΎΡΠΌΠΎΡΡΠ΅ΡΡ Π±Π΅ΡΠΏΠ»Π°ΡΠ½ΠΎ MAPYA DRC, WAASI WA M23 WAKARIBIA KUITEKA UVIRA, FARDC WATAJWA KUTOROKEA ZIWA TANGANYIKA ΠΈΠ»ΠΈ ΡΠΊΠ°ΡΠ°ΡΡ Π² ΠΌΠ°ΠΊΡΠΈΠΌΠ°Π»ΡΠ½ΠΎΠΌ Π΄ΠΎΡΡΡΠΏΠ½ΠΎΠΌ ΠΊΠ°ΡΠ΅ΡΡΠ²Π΅, Π²ΠΈΠ΄Π΅ΠΎ ΠΊΠΎΡΠΎΡΠΎΠ΅ Π±ΡΠ»ΠΎ Π·Π°Π³ΡΡΠΆΠ΅Π½ΠΎ Π½Π° ΡΡΡΠ±. ΠΠ»Ρ Π·Π°Π³ΡΡΠ·ΠΊΠΈ Π²ΡΠ±Π΅ΡΠΈΡΠ΅ Π²Π°ΡΠΈΠ°Π½Ρ ΠΈΠ· ΡΠΎΡΠΌΡ Π½ΠΈΠΆΠ΅:
ΠΡΠ»ΠΈ ΠΊΠ½ΠΎΠΏΠΊΠΈ ΡΠΊΠ°ΡΠΈΠ²Π°Π½ΠΈΡ Π½Π΅
Π·Π°Π³ΡΡΠ·ΠΈΠ»ΠΈΡΡ
ΠΠΠΠΠΠ’Π ΠΠΠΠ‘Π¬ ΠΈΠ»ΠΈ ΠΎΠ±Π½ΠΎΠ²ΠΈΡΠ΅ ΡΡΡΠ°Π½ΠΈΡΡ
ΠΡΠ»ΠΈ Π²ΠΎΠ·Π½ΠΈΠΊΠ°ΡΡ ΠΏΡΠΎΠ±Π»Π΅ΠΌΡ ΡΠΎ ΡΠΊΠ°ΡΠΈΠ²Π°Π½ΠΈΠ΅ΠΌ Π²ΠΈΠ΄Π΅ΠΎ, ΠΏΠΎΠΆΠ°Π»ΡΠΉΡΡΠ° Π½Π°ΠΏΠΈΡΠΈΡΠ΅ Π² ΠΏΠΎΠ΄Π΄Π΅ΡΠΆΠΊΡ ΠΏΠΎ Π°Π΄ΡΠ΅ΡΡ Π²Π½ΠΈΠ·Ρ
ΡΡΡΠ°Π½ΠΈΡΡ.
Π‘ΠΏΠ°ΡΠΈΠ±ΠΎ Π·Π° ΠΈΡΠΏΠΎΠ»ΡΠ·ΠΎΠ²Π°Π½ΠΈΠ΅ ΡΠ΅ΡΠ²ΠΈΡΠ° ClipSaver.ru
Uvira. Vyanzo vya ndani ya Jamhuri ya Kidemokrasia ya Congo (DRC) vimesema milio ya risasi imesikika katika mji wa mpakani wa Uvira uliopo Jimbo la Kivu Kusini Mashariki DRC. Shirika la Habari la Reuters limeripoti jana Jumatano kuwa, milio ya risasi ilisikika maeneo mbalimbali ya Mji wa Uvira huku taarifa zikidai ni majibizano ya risasi kati ya wapiganaji wa kundi la M23 dhidi ya vikosi vya Jeshi la Ulinzi la DRC la FARDC. Waasi wa 23, wanatajwa kuungwa mkono na Serikali ya Rwanda hata hivyo, ambapo Rais Paul Kagame alipofanya mahojiano na Televisheni ya CNN alikanusha madai ya Rwanda kuifadhiri M23 huku akisisitiza kuwa hana taarifa ya uwepo wa wanajeshi wa Jeshi la Ulinzi la Rwanda nchini DRC. Kwa mujibu wa wakazi wa eneo la Bukavu, kuliibuka hali ya uporaji wa Maduka na maghala ya watu, huku miili ya watu ikionekana mitaani na wanajeshi wa Serikali wakiteka boti ili kukimbilia Ziwa Tanganyika. Mbali na baadhi ya wanajeshi kuonekana wakikimbilia Ziwa Tanganyika, Gereza lililopo eneo hilo pia lilifunguliwa. Waasi wa M23 wamekuwa wakielekea Kusini kuelekea Uvira, mji unaopakana na Burundi kupitia ziwa Tanganyika, tangu waliponyakua mji Mkuu wa Jimbo la Kivu Kusini, Bukavu mwishoni mwa wiki. Kutwaliwa kwa Mji wa Bukavu baada ya Nyabibwe ni pigo kubwa zaidi kwa Serikali ya Rais Felix Tshisekedi wa DRC, tangu kuanguka kwa jiji kubwa la Goma mwishoni mwa Januari. Taarifa zinadai kuwa Jumanne waasi waliuteka Mji wa Kamanyola Jimbo la Kivu Kusini, Jumanne jambo lililosababisha hofu kuwa Mji wa Uvira ulioko Kilometa 80 kutoka Kamanyola huenda ukaangukia mikononi mwa waasi wakati wowote. Tangu Bukavu kuanguka, wanajeshi wa FARDC wamekuwa wakirudi nyuma na wamejikuta wakipigana na wanamgambo washirika wanaoitwa Wazalendo, ambao hawataki kurudi nyuma. Imeandikwa na Mgongo Kaitira kwa msaada wa Mashirika.