У нас вы можете посмотреть бесплатно Wanafunzi wa Loromoru wasalia barabarani baada ya majengo ya shule kubomolewa kwa mzozo wa ardhi или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wanafunzi wa shule ya msingi ya Loromoru wamesalia katika njia panda baada ya majengo shuleni humo kubomolewa. Ubomozi huo ulifanywa kutokana na mzozo wa ardhi baina ya jamii na idara ya huduma za misitu -KFS, ambayo ilitenga sehemu hiyo kuwa eneo la msitu. Wakazi wamepinga pendekezo la kuhamisha shule hiyo katika sehemu mbadala wakisema kuwa mwendo huo utakuwa mbali sana kwa wanafunzi kutembea