У нас вы можете посмотреть бесплатно AIBU BUNGENI! Wabunge WAPINGANA KISA KAULI YA MBUNGE kuhusu Vifo Oktoba 29 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mzimu wa Oktoba 29 umetua Bungeni kwa kishindo. Tazama uchambuzi wa kina kuhusu kigugumizi cha Wabunge kujadili vurugu na vifo vilivyotokea, huku hoja ya 'MBUNGE' ikiibua maswali mazito kuhusu ukweli wa kilichotokea. Katika video hii, Harakati TV inakuletea undani wa mjadala wa Bunge la Jamhuri ya Muungano wa Tanzania kuhusu tukio la maandamano ya Oktoba 29. Licha ya uharibifu wa mali na vifo kutokea, mjadala umegubikwa na utata huku baadhi ya Wabunge wakitumia lugha ya dhahania badala ya kukabiliana na uhalisia. Je, ni kwanini tukio hili linajadiliwa kwa mtindo wa "KAMA"? Nani anasema ukweli na nani anaficha siri? Ungana nasi kuchambua siasa hizi zinazogusa maisha ya Watanzania. Mambo Muhimu Utakayopata: 🔴 Siri ya mjadala wa huu Bunge. 🔴 Kauli tata za Wabunge kuhusu waathirika wa vurugu. 🔴 Uchambuzi wa Hali ya Kisiasa na usalama wa raia. Usisahau: ✅ LIKE video hii ili tuwafikie Watanzania wengi zaidi. ✅ SUBSCRIBE kwa taarifa za uhakika na uchambuzi usioegemea upande wowote. ✅ COMMENT: Je, unadhani Bunge limetenda haki kwa waathirika wa Oktoba 29? #BungeTanzania #SiasaZaTanzania #Oktoba29 #VuruguZaUchaguzi #HarakatiTV #HabariZaHiviPunde #Dodoma #BungeLive This video contains parliamentary proceedings and public information used for news reporting, education, commentary, and public awareness purposes in accordance with YouTube Fair Use Policy. No copyright infringement is intended.