У нас вы можете посмотреть бесплатно NGUZO ZA ZEGE KUIMARISHA HUDUMA UMEME или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kamati ya Kudumu ya Bunge ya Nishati na Madini imeridhishwa na ujenzi wa kiwanda cha kuzalisha nguzo za zege kinachomilikiwa na kampuni tanzu ya Shirika la Umeme Tanzania (TANESCO) kilichopo mkoani Tabora. Kamati hiyo imetembelea kiwanda hicho Machi 12, 2026 wakati wa ziara yake ya kikazi mkoani humo kwa lengo la kukagua miradi mbalimbali ya nishati inayotekelezwa na shirika hilo. Akizungumza baada ya ziara hiyo, Mwenyekiti wa Kamati hiyo, Subira Mgallu, amesema kamati imeridhika na hatua ya kukamilika kwa kiwanda hicho ambacho tayari kimeanza uzalishaji.