У нас вы можете посмотреть бесплатно Tazama Biteko alivyombananisha Mkurugenzi wa Tanesco Tabora, atoa siku 7... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Naibu Waziri Mkuu na Waziri wa Nishati Tanzania, Dk Doto Biteko Julai 7, alikuwa Sikonge mkoani Tabora kukagua mradi wa umeme wa Kilovoti 132 ambapo akiwa kwenye kituo hicho akawabana watumishi wa Tanesco, akiwemo mkurugenzi wa shirika hilo hapa nchini kuhusiana na kusuasua kuanza utekelezaji wa vituo vya kupooza umeme katika maeneo mbalimbali nchini. Hata hivyo, Dk Biteko ameonekana kukerwa na mmoja wa watumishi wa shirika hilo aliyeoonekana kumdanganya kwenye maelezo yake, jambo lililozua sintofahamu kwenye mkutano na wananchi. Baada ya hilo kutokea akatoa siku saba kwa Tanesco wawe wameleta mpango wa kujenga vituo vya kupooza umeme nje ya Dar es salaam tofauti na hali ilivyo sasa.