У нас вы можете посмотреть бесплатно MSAJILI wa HAZINA MCHECHU - "USHIRIKIANO wa SERIKALI na TPC UMEZAA MATUNDA MAKUBWA KATIKA MIAKA 20" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
MSAJILI wa HAZINA MCHECHU - "USHIRIKIANO wa SERIKALI na TPC UMEZAA MATUNDA MAKUBWA KATIKA MIAKA 20" @Denis Akizungumza, Msajili wa Hazina, Bw. Nehemiah Mchechu, amesema mafanikio yaliyopatikana katika kipindi cha miaka 20 yanadhihirisha thamani ya ushirikiano kati ya sekta ya umma na binafsi. “Mafanikio haya yanaonesha jambo moja: Kuwekeza Tanzania ilikuwa uamuzi sahihi—na mmepata mshirika sahihi katika biashara,” alisema, akisisitiza ushirikiano imara kati ya serikali na wawekezaji binafsi. Bw. Mchechu alithibitisha dhamira ya serikali kuendeleza ushirikiano huu, akiongeza, “Tutaendelea kuboresha mazingira ya uwekezaji, uvumbuzi, na ukuaji wa viwanda.” ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 739 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: [email protected] ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx