У нас вы можете посмотреть бесплатно ST. MARY'S WAUKUBALI UBORA SABUNI ZA KING LIMAU NA MARHABA. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
ST. MARY'S WAUKUBALI UBORA SABUNI ZA KING LIMAU NA MARHABA MAKAMPUNI ya Azania Group ambao ni watengenezaji wa sabuni bora za King Limau na Marhaba ambazo zinasifika kwa ubora, wakishirikiana na kikosi cha Matangazo cha Makampuni ya Global Group, jana Ijumaa, Februari 21, 2020, walitembelea Shule ya St. Marys iliyopo Mbezi Beach, jijini Dar es Salaam na kuwaonesha kwa vitendo walimu na wanafunzi ubora wa sabuni hizo. Kikosi hicho kikiongozwa na Group Business Developer (Ofisa Maendeleo ya Biashara) wa Azania, Joel Laizer kwa kuwaonyesha walimu na wanafunzi hao maajabu ya sabuni hizo jinsi zinavyoondoa madoa sugu kwenye nguo ndani ya muda mfupi. UNA HABARI? WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE (+255 784 888982) ( +255 676 229628) HABARI MPYA DAILY: http://bit.ly/habarimpya HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews Subscribe Global TV, Channel itakayokupa Habari na matukio ya kipekee nchini Tanzania Subscribe http://bit.ly/globaltvonline