У нас вы можете посмотреть бесплатно KABLA YA KUNUNUA HISA ZINGATIA MAMBO HAYA, FAHAMU JINSI YA KUWEKEZA KWENYE MASOKO YA MITAJI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Zipo mbinu nyingi ambazo Watu huzitumia kupata pesa na kujikwamua kiuchumi lakini pia zipo mbinu nyingi za ushindi ambazo Watu huzichangamkia na kutoboa kimaisha. Miongoni mwa njia zilizowafanya wengi wakatoboa ni mbinu ya kununua hisa kwenye Kampuni mbalimbali na kuchangamkia gawio lakini wengi hawajui jinsi ya kununua hisa au kupata ushauri kuhusu ununuaji wa hisa. @AyoTV_ leo itembelea kampuni ya Wakala wa soko la hisa ya Zan Securities LTD (@zansecurities) ili kupata majibu kuhusu jinsi ya kuwekeza kwenye masoko ya mitaji, kununua hisa na kuhusu hati fungani. Kwa maelezo zaidi unaweza kufika katika ofisini zetu zilizopo jengo la VIVA Tower (1st Floor) jijini Dar es Salaam, tupigie kwa simu namba +255 755 898 425/+255222103433 au tembelea website yetu www.zansec.co.tz