У нас вы можете посмотреть бесплатно Dizasta Vina - Fanani или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Official youtube Video of the record Fanani, Written and Perfomed by Dizasta Vina & Mr Public face. Stream & Download Fanani audio Boomplay https://www.boomplay.com/songs/186540742 Audiomack https://audiomack.com/dizastavina/son... Mdundo https://mdundo.com/song/3239550 Connect with Dizasta on socials heylink.me/dizastavina Lyrics "Talent and ability, can take you to the top of the mountain. Lakini, the moment you mess up with your character, everything goes back to zero. Unaanguka chini kabisa" Natembea sehemu nyingi nakutana na Watu wengi wananipa ushauri mwingi Mwingi mwingi blah blah blah Mbona hau-move hivi Mbona sijui hau-force kingi Mbona sijui hau-change hiki blah blah Fanya collabo na flani na flani blah blah Ule wimbo sijui ungemweka flani blah blah Flani na flani sijui hawawezi fani, flani sijui hamjui flani Flani sijui yuko kama flani blah blah Mchumba anahisi nauza bangi Anashangaa nimesoma sijatafuta kazi Namwambia mistari yangu ni bidhaa Nimelelewa vyema na sasa na sasa nailea hii mitaa Mitaa inahisi nauza pakti Nimechoka naunga waya naunga nyagi Mwonekano nje hauonyeshi nina kisomo Eti ubaya wa cover ndo' yaliyomo Mama ana-wish nimwoe Tuntu Anasema amesoma anamjua Mungu Namwambia "Tuntu anawadharau ndugu" "Na anaona mafanikio ni kupata bwana Mzungu" Mama Tuntu anasema mi muhuni Anahisi nipo ghetto nazienzi Kunguni Haamini naheshimika kwa kuuenzi Utamaduni Ana anahisi muziki dhambi kwahiyo siendi hata mbinguni Hajui kuwa imani yake ni dau pana La mchungaji, anahisi mi' mdhambi dharau sana Nawa-overate watu nasahau kwamba People with common sense mtaani are outnumbered Mama anasema nabonga hanielewi Nimezongwa siwezi kutoka na sihemi Natembea na makaratasi utadhania Mkandarasi Sina ganji utahisi nimerogwa na Washenzi Namwambia "ujuzi power" nauhakiki Nimenawa mpaka naenda sawa na Wahandisi Wauguzi wanapagawa wakifika himaya hizi Kuona Sina dawa utadhania mvuta kaya chizi Mdogo wangu ana-doubt mi ni Star Na anashangaa kwanini I don’t have a car Washkaji daily wanataka tupige picha Au short video Intro tukazitundike Insta Chuki nikiwaambia niko busy Hawaamini I have meetings to attend to Wanahisi nawadanganya wakaulize Kwani life is more than just Instagram and Facebook Wanasema mi' kituko naruka luksi Nishatengwa na milupo ila sikugeuka nuksi Nilitishiwa hadi vifungo sikutupa ujuzi Utotoni sikupewa maputo niliokota books Sikupendwa na mazoba wakereketwa Ni'shaibiwa na manyoka na ndio maana niko focus Najua mikataba bogus inavyowateteresha Ndo' maana huwezi kuona ninapelekeshwa Naakutana na Watu wengi wananipa ushauri mwingi Mwingi mwingi blah blah blah Mbona hau-move hivi Mbona sijui hau-force kingi Mbona sijui hau-change hiki blah blah Fanya collabo na flani na flani blah blah Ule wimbo sijui ungemweka flani blah blah Flani na flani sijui hawawezi fani, flani sijui hamjui flani Flani sijui yuko kama flani blah blah Hauwezi ku-observe my position, my momentum At the same time? that's cynical I'm electron, I know how to move better, Kunidharau Ni kuidharau Uncertainity principle Naona wanaibuka Wanariadha Wanafoka eti siongelei siasa Sijabuma, najua mchezo, ni kwamba Najua kukaa nyuma mbele masihara yakianza Life is when things happen so, let it be We learn how to behave from the same shit Ninajua hizo struggle for revolution And I knew it was time for change, so I change me Masihara ni fashion ukihitaji ule Hata vioo vya jamii vipo ndani mule Wasanii wanatumia style yangu bure Serikali hainitambui na ushairi wangu shule Mitaani juu hela haishikiki Nime-master mpaka school vyema hainishindi Sina matatuu natembea kwa miguu wananishangaa I'm getting too famous for this shit I'm a big deal nasahau sahau bwana Ila industry haiko real jau jau sana Maudhui ni kitu wadau walikacha Na maniga walisahau kuhusu culture Kisa njaa kubwa Mngekuwa wapi bila hiphop? Mngeshika wapi hizo dough bila hiphop? Mngekuwa wapi mapresenta wabovu Makundi ya matozi na Hizi afternoon shows Bila hiphop? Ni vile ubishi nakazia Hawaelewi kazi yangu maana dhiki imen'dandia Mchumba n'nayembambia hasadiki nikimwambia Mi' mwanamziki bado anahisi namtania Anasema namletea msongo wa mawazo Eti ooh! nimechoka na huo uongo wako Ana hofu that we don't show off Go out and hit a club like a normal couple Kisa sija-fix my finances She won’t fix her attitude Anafungua fridge yangu na hajachangia kitu Na anataka nimpeleke Summer Malibu Namwambia I have real life sio sci-fi Anahisi naishi honey boo boo lifestyle Oohh she wanna dance in the car 40 degrees she wanna shake her ass in a Yatch Natembea sehemu nyingi nakutana na watu wengi Wananipa ushauri blah blah Mbona haumove hivi sijui mbona hau force kingi Mbona sijui hau.... blah blah blah Blah blah blah Blah blah Ushauri mwingi blah blah Man I'm outta here