У нас вы можете посмотреть бесплатно Canada LMIA Jobs 2025 : Temporary Foreign Worker Program 🇨🇦 | Kazi za LMIA Canada или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Unataka kufanya kazi Canada mwaka 2025? 🇨🇦 Hii video inakuonyesha jinsi ya kupata kazi za LMIA approved kupitia Temporary Foreign Worker Program (TFWP) moja kwa moja kutoka kwa tovuti rasmi ya serikali ya Canada (Job Bank). ✅ Kazi hizi ni halali na zipo kwenye sekta kama: farming, cleaning, food processing, factories, hospitality na trucking. ✅ Unaweza ku-apply moja kwa moja ukiwa Kenya, Uganda, Tanzania, Congo au sehemu yoyote Afrika Mashariki. ✅ Hakuna malipo ya LMIA – waajiri wa kweli hawakuchaji pesa! 🔗 Link rasmi ya kazi zote za Temporary Foreign Workers: 👉 https://www.jobbank.gc.ca/temporary-f... 👉 Angalia video hii hadi mwisho ujifunze: 00:00 - Utangulizi 01:30 - LMIA Jobs ni nini? 04:00 - Jinsi ya kupata kazi kwenye Job Bank 07:15 - Jinsi ya ku-apply ukiwa Kenya, Uganda, Tanzania, Congo 10:00 - Vidokezo vya kuepuka matapeli 12:00 - Maswali ya kawaida kutoka kwa waombaji 📌 Tafadhali SUBSCRIBE kwa channel yetu Leza TV Canada kwa video zaidi kuhusu maisha na kazi Canada kwa waafrika. #CanadaJobs2025 #LMIA #EastAfricaToCanada #TFWP #KenyaToCanada #TanzaniaToCanada #UgandaToCanada #CongoToCanada