У нас вы можете посмотреть бесплатно ZAI KIJIWENONGWA: Mwanangu anaingilia mahusiano yangu, Ukipika pilau unatumiwa paka usiku,Mme wa mtu или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mwanadada anayebamba kwenye mitandao ya kijamii nchini haswa kwa video zake za ucheshi, Zainabu Mbaruku maarufu kwa jina la Zai Kijiwe Nongwa ameongelea masuala mbalimbali yanayotokea katika jamii haswa kwa wakazi wa vingunguti hususani maskani yake ya kijiwenongwa Zai alifanya mahojiano maalum na Mwananchi Digital Januari 17, 2023 na kueleza masuala mbalimbali ikowemo mfumuko wa bei za vyakula, ugomvi baina ya mke na mume, wivu wa maendeleo na masuala mbalimbali yakiswahili. Lakini pia Zai amesimulia kuwa kumetoke lawama nyingi kuwa wanawake wanapigwa na wanaume zao na kufikishana mbali kama vile mahakamni lakini kwao hawafanyi hivyo alikiri kuwa wanawake wa Kijiji hicho wanapigwa sana na wanaume zao. “Huku kwetu mtu anapigwa kiasi kwamba sura haijulikani ni ipi shingo niipi lakini hatuachani tunasutana tunaendelea na maisha ikishindikana naita ndugu wanampiga huyo mume,” amesema Zai Kutokana na hali ya kupanda kwa bei ya vyakula, na hali ngumu yakimaisha Zai ameomba Serikali iangalie namna gani wanaweza kupunguza au kusaidia upatikanaji wa bei nafuu ya nafaka kwani kijini hapo wanateseka kupata chakula.