У нас вы можете посмотреть бесплатно MDAHAL0: BIBLIA HAINA MAKOSA, ILA QURAN INA MAKOSA MENGI: SHEIKH SULEMAN MBOGO AJIBIWA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wahadhiri wa Kiislamu kila mara wamekuwa wakidai kwamba Biblia imepotoshwa, na wala haifai kuitwa Neno la Mungu. Hata hivyo hoja zote wanazozitoa kuipinga Biblia walikwisha jibiwa zote. Kwa sasa wanafanya marudio tu. Kwa upande wa Wakrristo wamekuwa wakitoa hoja kuonesha makosa ya Quran, lakini hakuna hata moja iliyojibiwa hadi leo na ndivyo itakavyokuwa hadi siku ya kiyama. Katika mada hii mhubiri wa Kiislamu Suleman Mbogo amejaribu kuikosoa Biblia na kuahidi kuuacha Uislamu na kubatizwa iwapo maswali yake yote yatajibiwa. Humu maswali yake yote yamejibiwa. Muulizeni amekwisha batizwa. Karibu! 🎙️ New to streaming or looking to level up? Check out StreamYard and get $10 discount! 😍 https://streamyard.com/pal/d/55802598...