У нас вы можете посмотреть бесплатно KOZI YA UHANDISI WA NDEGE INAYOTAMBA KWA WANAFUNZI PCM/PGM/PMC - AERONAUTIC ENGINEERING или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kupata kozi hii katika vyuo bora duniani apply hapa:- https://gel.co.tz/GEL/CRS/noap/index.php Aeronautic engineering ni moja ya kozi za uhandisi zenye uhitaji mkubwa katika sekta ya anga kwani tasnia nzima ya ufundi wa vyombo vya anga kuanzia katika usanifu, uundaji na ukarabati wa vyombo vya anga huanzia katika taaluma hii. Vyombo kama drone, ndege, makombora ya masafa marefu, helicopter, satellite na vingine vingi hutokana na kozi hii. Hii ni fursa kwako kupata kozi hii nje ya nchi kupitia mawakala bingwa wa vyuo vikuu nje ya nchi Global Education Link kwa kutupigia kwa simu nambari 0677 600 100/ 0656 200 200 au tembelea tovuti yetu ya www.gel.co.tz