У нас вы можете посмотреть бесплатно WANANCHI WAGOMEA TAARIFA POLISI WATULIZA HALI KILOLO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Wananchi wa kijiji cha Lundamatwe Kata ya Irole wilaya ya Kilolo Mkoani Iringa Wamegomea Taarifa ya mapato na matumizi iliyotolewa na viongozi wa kijiji hicho katika mkutano wa hadhara Wananchi hao walifai kuwa kunaubadhilifu mkubwa uliofanyika hivyo viongozi hao hawana Majibu ya kuwapa badala yake Wanamtaka Mkuu wa wilaya ya Kilolo kufika kijijinj hapo ili kuwasikiliza Katika mkutano huo wa hadhara ambao ulifanyika Agosti 31 mwaka 2024 Ukiwa ni mkutano ulioitishwa baada ya kupita Mwaka mmoja na miezi miwili bila kuwepo mkutano wowtote wa kijiji Kufuatia hali hiyo Mkutano huo ulivurugika na kulazima Jeshi la Polisi kufika katika kijiji hicho ili kuwatuliza wananchi hao na kulazimu kuweka makubaliano maalumu huku wakiweka msimamo wa viongozi wa kijiji kusimama kazi mpaka atakapokuja mkuu wa wilaya ili awasikiloze na kuwawajibisha viongozi wanaotuhumiwa @mbushijr #menyumfwelele #ebony18menyumfwelele