У нас вы можете посмотреть бесплатно KIJANA MIAKA 17 AUAWA KWA KUCHOMWA NA KITU TUMBONI - KUNDI LA DAMU CHAFU na KABURI WAZI LAHOFIWA... или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
KIJANA MIAKA 17 AUAWA KWA KUCHOMWA NA KITU TUMBONI - KUNDI LA DAMU CHAFU na KABURI WAZI LAHOFIWA... @AIDAN FELSON - KATAVI CC; BAKARI MAHUNDU Kijana mmoja aliyefahamika kwa majina ya Hassan Shaban (17) mkazi wa Kigamboni, Halmashauri ya Manispaa ya Mpanda Mkoa wa Katavi anadaiwa kuuwawa kwa kuchomwa na kitu chenye ncha kali sehemu mbalimbali za mwili wake na watu ambao bado hawajafahamika. Kwa mujibu wa mashuhuda, tukio hilo limetokea Januari 19. 2026 majira ya saa tatu usiku na kuwa marehemu alikuwa akikimbia huku akiomba msaada kabla ya kupoteza maisha. ============================================================ ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx