У нас вы можете посмотреть бесплатно DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 03. 03. 2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Hujambo na karibu katika Dnia Yetu Leo Mchana, yale utakayoyasikia ni pamoja na:- Waziri Mkuu wa Israel Benjamin Netanyahu amesema vita dhidi ya Iran "sio vya kumalizika haraka", huku mapigano yakizidi kupanuka kati ya Israel, Iran na washirika wao katika eneo la Mashariki ya Kati. Marekani imeweka vikwazo kwa Jeshi la Ulinzi la Rwanda na maafisa wake wanne waandamizi kwa tuhuma za kuunga mkono kundi la waasi la M23. #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.