У нас вы можете посмотреть бесплатно MKUU WA MKOA DAR ES SALAAM ATOLEA UFAFANUZI VIDEO ILIYOSAMBAA MITANDAONI KUHUSU MAMA MJAMZITO или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa Mkoa wa Dar es Salaam Bwana Albert Chalamila ametoa ufafanuzi kufuatia video inayosambaa katika baadhi ya mitandao ya kijamii kufuatia kauli ya ufafanuzi kuhusu mama mjamzito aliyempigia simu kuhusu gharama za matibabu. Kauli hiyo ambayo inasambaa aliitolea mfano wakati wa uzinduzi wa kambi maalum ya matibabu iliyotolewa na madaktari bingwa na bobezi katika Hospitali ya Rufaa Mkoa wa Temeke Mkoani Dar es Salaam Januari 14, 2025.