У нас вы можете посмотреть бесплатно Kenya Ina Nini? Wageni Waeleza Kwa Nini Wanakuja Na Kubaki или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kwa nini wageni wengi kutoka Marekani na Ulaya wanazidi kuja Kenya — na wengine kuamua kabisa kuishi hapa? Kwenye video hii tumekusanya ushuhuda halisi wa wageni waliotembelea na wanaoishi Kenya wakieleza sababu zinazowavuta: utamaduni wa mtaani, matatu/nganya culture, ukarimu wa watu, hali ya hewa, chakula, lifestyle na connection ya diaspora kurejea Afrika. Utashuhudia first impressions za wageni ndani ya Nairobi, familia za kigeni zilizoamua kuhamia Kenya, pamoja na maoni ya African Americans wanaochagua Kenya kama sehemu bora ya ku-settle Afrika. Hii ni documentary-style breakdown yenye facts, experiences na uchambuzi rahisi kueleweka. Kama unapenda maudhui ya social trends, lifestyle, diaspora stories, siasa za jamii na habari za watu mashuhuri Afrika Mashariki — video hii ni kwa ajili yako. Tazama hadi mwisho kisha toa maoni yako: Je, wewe unaona nini kinawavutia wageni zaidi kuja na kubaki Kenya? #Kenya #DiasporaAfrica #LifestyleAfrica #NairobiLife #AfricaTravel #MizukaMedia