 
                                У нас вы можете посмотреть бесплатно 'Tumewatafuta lakini bado hatujui walipo'. Utekaji Tanzania, katika Dira ya Dunia TV или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
                        Если кнопки скачивания не
                            загрузились
                            НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
                        
                        Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
                        страницы. 
                        Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
                    
Serikali ya Tanzania inatuhumiwa na makundi mbalimbali ya watetezi wa haki za binadamu kwa kuwakandamiza wapinzani na wakosoaji, japo serikali ya taifa hilo la Afrika Mashariki inakanusha hilo. Baadhi ya wanaharakati wameendelea kushinikiza mamlaka kutatua tatizo la watu kupotea. Baadhi ya ndugu na jamaa ya waliodaiwa kutekwa wanatafuta majibu ya walipo wapendwa wao. Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili