У нас вы можете посмотреть бесплатно Marekani yawatafuta marubani wa ndege iliyodunguliwa Iran. Katika Dira ya Dunia TV или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ndege ya kivita ya Marekani imedunguliwa nchini Iran, huku shughuli za uokoaji zikiendelea kuwatafuta wanajeshi waliokuwa ndani. Afisa Mmoja Mkuu wa Marekani amethibitisha hilo kwa mashirika ya habari ya Reuters na New York Times. Shirika la habari la serikali nchini Iran limeripoti madai kwamba mabaki ya ndege hiyo yamepatikana na imeonyesha picha hizo kwenye matangazo yake, huku ikisema kwamba Iran itatoa zawadi kwa yeyote atakayewakamata marubani hao wakiwa hai. #Iran #Trump #USA #BBCSwahili #BBCSwahiliLeo Subscribe kupata video motomoto kila siku kutoka BBC Idhaa ya Kiswahili / @bbcnewsswahili