У нас вы можете посмотреть бесплатно MNEC -Rukwa Sultan Seif aingilia kati uhaba wa madawati Ikozi, aagiza H/W Sumbawanga kuchukua hatua или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Ili kuwa mwanafamilia wa Malaika Tv kila unapo tazama Habari zetu usisahau ku SUBSCRIBE na LIKE kisha COMMENT Katika kuadhimisha miaka 49 ya CCM, NEC Mkoa wa Rukwa Ndugu Sultani Sarehe Seifu ameingilia kati changamoto ya uhaba wa madawati katika Shule ya Msingi Ikozi. Akiwa katika ziara kuzindua na kusherekea miaka 49 ya CCM Wilaya ya Sumbawanga vijijini iliyofanyika katika kata ya Ikozi kijiji cha Ikozi, ameiagiza Halmashauri ya Wilaya ya Sumbawanga kuchukua hatua za haraka kutatua changamoto hiyo. Hatua hiyo inalenga kuboresha mazingira ya kujifunzia na kuendelea kutekeleza ahadi za CCM kwa wananchi.