• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

NDOA ZA MITALA: JE KUNA KOSA LOLOTE KUOA WAKE WENGI? MBONA WATU WA AGANO LA KALE WALIOA WAKE WAKE? скачать в хорошем качестве

NDOA ZA MITALA: JE KUNA KOSA LOLOTE KUOA WAKE WENGI? MBONA WATU WA AGANO LA KALE WALIOA WAKE WAKE? 4 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
NDOA ZA MITALA: JE KUNA KOSA LOLOTE KUOA WAKE WENGI? MBONA WATU WA AGANO LA KALE WALIOA WAKE WAKE?
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: NDOA ZA MITALA: JE KUNA KOSA LOLOTE KUOA WAKE WENGI? MBONA WATU WA AGANO LA KALE WALIOA WAKE WAKE? в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно NDOA ZA MITALA: JE KUNA KOSA LOLOTE KUOA WAKE WENGI? MBONA WATU WA AGANO LA KALE WALIOA WAKE WAKE? или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон NDOA ZA MITALA: JE KUNA KOSA LOLOTE KUOA WAKE WENGI? MBONA WATU WA AGANO LA KALE WALIOA WAKE WAKE? в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



NDOA ZA MITALA: JE KUNA KOSA LOLOTE KUOA WAKE WENGI? MBONA WATU WA AGANO LA KALE WALIOA WAKE WAKE?

Ndoa ya Kikristo ni ndoa ya mke mmoja na mume mmoja, na inapaswa kufungwa kwa kuzingatia sheria za kanisa, serikali na tamaduni husika. Hata hivyo, katika jamii nyingi duniani tangu zamani kumekuwepo na ndoa za mke zaidi ya mmoja. Waafrika wengi hawaoni kwamba ni jambo geni kuingia katika ndoa za mitala. Hii ni kutokana na ukweli kwamba mwanaume wa kiafrika anaweza kuoa mwanamke mwingine wakati wowote ule bila shida. Nakumbuka kanisa moja nililowahi kusali nilipokuwa kijana mdogo lilikuwa linaitwa Last Church of God, ambalo kwa lugha ya Kisukuma linajulikana kama “Bhatola Mhali” yaani “waoao wake wengi,” kanisa hili lilikuwa linahalalisha kabisa kuoa wake zaidi ya mmoja. Mwinjilisti wa kanisa hilo alikuwa na wake wawili. Kanisa hili hudai kwamba mpango wa Mungu kwa wanadamu ni kuhakikisha kwamba mwanaume anaoa wanawake wengi kwa kadri awezavyo, ikiwa tu ana uwezo wa kuwahudumia. Hata hivyo, mpango wa Mungu haukuwa kwamba aweze kuoa wake wengi, kwani alipomuumba Adamu alimwumba na Hawa nao walikuwa wawili tu. Hata hivyo kwa sababu ya anguko la mwanadamu, kwa sababu ya dhambi mwanadamu alijitwalia wake zaidi kwa kadri alivyotaka. Ndoa ya mitala ya kwanza katika Biblia ni ile ya Lameki katika Mwanzo 4:19 "Lameki alioa wanawake wawili." Na baadaye tunaona watu wengi muhimu katika Agano la Kale wakiwa na mitala; kwa mfano Ibrahimu, Yakobo, Daudi, Sulemani, na wengine. Katika 2 Samweli 12:8, Mungu, akizungumza kupitia nabii Nathani, alisema kwamba kama wake na masuria wa Daudi hawakutosha, naye angempa Daudi zaidi. Hii inamaanisha nini? Pia, Sulemani alikuwa na wake 700 na masuria 300. Kuna maswali ambayo pengine yangefaa kupatiwa majibu kadhaa; Kwa nini Mungu aliruhusu mitala katika Agano la Kale? Mungu anaionaje mitala leo hii? Hebu kwanza tuone ndoa kadhaa za wake wengi katika Biblia. FUATILIA SOMO HILI. USISAHAU PIA KUPATA KITABU CHA MAADILI YA KIKRISTO

Comments
  • JE KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA NI DHAMBI NA DR.MWALUSAMBO #kingdomphilosophy #biblestudy #bible 7 месяцев назад
    JE KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA NI DHAMBI NA DR.MWALUSAMBO #kingdomphilosophy #biblestudy #bible
    Опубликовано: 7 месяцев назад
  • Bi Msafwari | Wanaume waoe wake wengi? #BiMsafwari 7 лет назад
    Bi Msafwari | Wanaume waoe wake wengi? #BiMsafwari
    Опубликовано: 7 лет назад
  • Namna ya Kutibu Majeraha ya Ukewenza - Ukht Khadija Idd 3 года назад
    Namna ya Kutibu Majeraha ya Ukewenza - Ukht Khadija Idd
    Опубликовано: 3 года назад
  • TALAKA KATIKA UKRISTO: JE KUNA KOSA LOLOTE KUTOA TALAKA KWA MWENZI AMBAYE MKO KWENYE MGOGORO HATARI? 4 года назад
    TALAKA KATIKA UKRISTO: JE KUNA KOSA LOLOTE KUTOA TALAKA KWA MWENZI AMBAYE MKO KWENYE MGOGORO HATARI?
    Опубликовано: 4 года назад
  • MZEE ERNESTO ANAYEISHI NA WAKE 16 5 лет назад
    MZEE ERNESTO ANAYEISHI NA WAKE 16 "7 KATI YAO NI MTU NA DADA YAKE WAMENIPENDA WENYEWE"
    Опубликовано: 5 лет назад
  • MZEE wa UPAKO  - ''NI NGUMU KUKUTA MWANAUME HANA MCHEPUKO, KATIKA WANAUME 100, 90 WANA MCHEPUKO'' 2 года назад
    MZEE wa UPAKO - ''NI NGUMU KUKUTA MWANAUME HANA MCHEPUKO, KATIKA WANAUME 100, 90 WANA MCHEPUKO''
    Опубликовано: 2 года назад
  • KUTOA FUNGU LA KUMI SIYO SHERIA - MABORESHO YA AGANO JIPYA NA DR.MWALUSAMBO #biblestudy 8 месяцев назад
    KUTOA FUNGU LA KUMI SIYO SHERIA - MABORESHO YA AGANO JIPYA NA DR.MWALUSAMBO #biblestudy
    Опубликовано: 8 месяцев назад
  • Usishangilie harusi tu yajue yanayokuja baada ya Ndoa,zingatia Haya - Sheikh Othman Maalim 3 года назад
    Usishangilie harusi tu yajue yanayokuja baada ya Ndoa,zingatia Haya - Sheikh Othman Maalim
    Опубликовано: 3 года назад
  • JE, UZINZI NI DHAMBI NA DR MWALUSAMBO #kingdomphilosophy    #biblestudy 8 месяцев назад
    JE, UZINZI NI DHAMBI NA DR MWALUSAMBO #kingdomphilosophy #biblestudy
    Опубликовано: 8 месяцев назад
  • Kuoa wake wengi - Dawah mitaani (Nairobi CBD) 5 лет назад
    Kuoa wake wengi - Dawah mitaani (Nairobi CBD)
    Опубликовано: 5 лет назад
  • JE YESU KRISTO ALISEMA NINI KUHUSU KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA 1 год назад
    JE YESU KRISTO ALISEMA NINI KUHUSU KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA
    Опубликовано: 1 год назад
  • KANISA LIMEPOTEA KURUHUSU WANAWAKE KUSIMAMA KUHUBIRI/WAISLAMU HAWAFANYI HIVYO. 1 год назад
    KANISA LIMEPOTEA KURUHUSU WANAWAKE KUSIMAMA KUHUBIRI/WAISLAMU HAWAFANYI HIVYO.
    Опубликовано: 1 год назад
  • SHERIA ZA URITHI| Mirathi na Wosia Za kiKristo 3 года назад
    SHERIA ZA URITHI| Mirathi na Wosia Za kiKristo
    Опубликовано: 3 года назад
  • SIFA ZA MWANAUME & MWANAMKE WAKUOA | NDOA NI NINI? Mrs. Debora Urio. #sda #deboraurio #kizingosda 3 года назад
    SIFA ZA MWANAUME & MWANAMKE WAKUOA | NDOA NI NINI? Mrs. Debora Urio. #sda #deboraurio #kizingosda
    Опубликовано: 3 года назад
  • DALILI ZA WENYE MATATIZO YA AFYA YA AKILI, BAIPOLA NA MATIBABU YAO NI HAYA 2 года назад
    DALILI ZA WENYE MATATIZO YA AFYA YA AKILI, BAIPOLA NA MATIBABU YAO NI HAYA
    Опубликовано: 2 года назад
  • Nini faida ya kuoa wake wengi kwa waAfrika? 4 года назад
    Nini faida ya kuoa wake wengi kwa waAfrika?
    Опубликовано: 4 года назад
  • WAKRISTO KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA JE MZEE WA UPAKO KWANI ANASAPOTI? 1 год назад
    WAKRISTO KUOA MKE ZAIDI YA MMOJA JE MZEE WA UPAKO KWANI ANASAPOTI?
    Опубликовано: 1 год назад
  • КОЗЫРЕВ: Что Лавров сделал не так. Китай хочет поглотить Россию. Как Путин стал преемником 14 часов назад
    КОЗЫРЕВ: Что Лавров сделал не так. Китай хочет поглотить Россию. Как Путин стал преемником
    Опубликовано: 14 часов назад
  • Haya ndio Masharti kwa kila Anaetaka Kuoa Mke zaidi ya Mmoja. Sh. Nurdin Kishki 3 года назад
    Haya ndio Masharti kwa kila Anaetaka Kuoa Mke zaidi ya Mmoja. Sh. Nurdin Kishki
    Опубликовано: 3 года назад
  • Pr. Paul Semba,NDOA AU FAMILIA INAPOKUWA NA DHORUBA 7 лет назад
    Pr. Paul Semba,NDOA AU FAMILIA INAPOKUWA NA DHORUBA
    Опубликовано: 7 лет назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5