У нас вы можете посмотреть бесплатно Walter Chilambo - Unafaa (Official Music Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Official Music video for “Unafaa” by Walter Chilambo Watch the latest music videos by Walter Chilambo: • Walter Chilambo - Messiah (Official M... Listen to Walter Chilambo here: https://snd.click/glmqrfp Follow Walter Chilambo Instagram: / walterchilambotz YouTube: / walterchilambo Music video by YLF Studios Unafaa Lyrics Macho yameona na tena nimesikia habari njema kwangu Moyo una shauku pia kukuona zaidi bwana wangu Nina kiu kiu isio kata aah ni kama nipo jangwani naona vumbi tu Nahitaji chakula cha roho yangu mi nipone kwa maana nipo jangwani [ninakuhitaji yeyeeh] Ukae na mimi ukae ndani yangu nikae na wewe uwe salama yangu Ukae na mimi ukae ndani yangu nikae na wewe uwe salama yangu Hakika wewe unafaa [unafaa] Baba sitamani nije kwako mikono mitupu nibariki nikutolee sadaka Najua nikiwa mikononi mwako nitakua shwari nitakuwa shwari Kwa mana ahadi zako si uongo [uongo] ndivyo hivyo unatimiza ahadi Ndo maana sina wasiwasi ndo maana sina waasi Ukae na mimi ukae ndani yangu nikae na wewe iwe salama yang Baba [huhuhuuuh] ukae ndani yangu nikae na wewe [babababababah] Ni wewe unanifaa unafaa [unafaa] We ni babaah [unafaa] baba ni wewe unastahili [unafaa] Njoo ukate kiu yangu #WalterChiambo #Unafaa