У нас вы можете посмотреть бесплатно DW Kiswahili Habari za Ulimwengu | 29.01.2026 | Mchana | Swahili Habari leo | Podcast или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Miongoni mwa tuliyokuandalia ++Marekani na Iran zimeendelea kujibizana huku Trump, akihimiza Tehran kufuata njia ya mazungumzo au Ishambuliwe vikali. Iran nayo imesema itajibu shambulizi lolote kutoka Washington na Israel. ++Kiongozi wa waasi wa AFC/M23, Corneille Nangaa amesema makubaliano ya madini kati ya Kongo na Marekani yalikuwa na dosari kubwa ++Shirikisho la soka barani Afrika CAF hatimaye limechukua hatua kufuatia matukio ya vurugu yaliyotokea wakati wa fainali ya Kombe la Mataifa Afrika kati ya Senegal na Morocco #dwkiswahili #DWSwahili #HabariLeo #RipotiNaUchambuzi #TaarifaYaHabari #DWKiswahiliPodcast /Ukitaka kupata habari zetu kila siku, bonyeza 'subscribe' kwenye chaneli yetu ya DW Kiswahili.