У нас вы можете посмотреть бесплатно KAMISHNA JENERALI WA MAGEREZA MZEE RAMADHANI NYAMKA AWAVISHA NISHANI MAAFISA JESHI LA MAGEREZA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kamishna Jenerali wa Magereza nchini Mzee Ranadhani Nyamka amewavisha Nishani maafisa wa jeshi la magereza wapatao 40 kanda ya kaskazini kwenye hafla iliyofanyika katika viwanja vya gereza kuu Karanga Moshi Mkoani Kilimanjaro. Akiwavisha nishani hizo amesema kuwa nishani hizo zimetolewa kwa Askari wa jeshi la magereza kwa kuzingatia vigezo mbalimbali mojawapo ni kwa Askari waliionesha nidhamu ya hali ya juu kwa jeshi hilo, Sambamba na hayo amezindua uwanja wa mpira wa miguu gereza kuu karanga ambao utatumika katika michezo ya aina mbalimbali na kusema wamejopanga katika kuhakikisha kuwa wanaipa michezo kipaumbele. Kwa upande wa Askari waliovishwa nishani hizo wamesema kuwa wataendelea kufanya kazi kwa bidiii na kwamba Kamishna jenerali wa magereza Mzee Ramadhani Nyamka amesem nishani hizo kwa niaba ya Raisi wa Jamhuri wa Muungano wa Tanzania ambapo katika kuadhimisha sherehe za miaka 60 za muungano wa Tanganyika na zanzbar alizotunuku nishani 2263 maafisa wa jeshi la magereza