У нас вы можете посмотреть бесплатно RC MTWARA: BANDARI YA MTWARA IMEJIANDAA KUPOKEA NA KUSAFIRISHA KOROSHO ZOTE ZA MIKOA YA KUSINI или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mkuu wa mkoa wa Mtwara, Kanali Patrick Sawala amesema kuwa serikali ya mkoa wa Mtwara itaendelea kusimamia zao la korosho si tu kwa maslahi ya mtu mmoja mmoja bali ya mkulima, familia na taifa kwa ujumla. Kanali Sawala amesema kuwa uongozi wa mkoa na wilaya umejipanga kusimamia ubora, malipo na kudhibiti utoroshwaji na usafirishaji wa korosho kinyume na utaratibu. Mkuu wa mkoa wa Mtwara ameyasema hayo akiwa Mtwara -Tanzania septemba 30-2024 wakati wa kikao maalum cha waziri wa kilimo Mhe. Hussein Bashe septemba 30, 2024 na Watendaji kabla ya kuanza kwa msimu wa mauzo ya korosho.