• ClipSaver
  • dtub.ru
ClipSaver
Русские видео
  • Смешные видео
  • Приколы
  • Обзоры
  • Новости
  • Тесты
  • Спорт
  • Любовь
  • Музыка
  • Разное
Сейчас в тренде
  • Фейгин лайф
  • Три кота
  • Самвел адамян
  • А4 ютуб
  • скачать бит
  • гитара с нуля
Иностранные видео
  • Funny Babies
  • Funny Sports
  • Funny Animals
  • Funny Pranks
  • Funny Magic
  • Funny Vines
  • Funny Virals
  • Funny K-Pop

Mfahamu Aunty: "Nimeishi Na Bibi, Kwenye Chumba Kimoja, Sina Rafiki" | SALAMA NA AUNTY PART 1 скачать в хорошем качестве

Mfahamu Aunty: "Nimeishi Na Bibi, Kwenye Chumba Kimoja, Sina Rafiki" | SALAMA NA AUNTY PART 1 3 года назад

скачать видео

скачать mp3

скачать mp4

поделиться

телефон с камерой

телефон с видео

бесплатно

загрузить,

Не удается загрузить Youtube-плеер. Проверьте блокировку Youtube в вашей сети.
Повторяем попытку...
Mfahamu Aunty:
  • Поделиться ВК
  • Поделиться в ОК
  •  
  •  


Скачать видео с ютуб по ссылке или смотреть без блокировок на сайте: Mfahamu Aunty: "Nimeishi Na Bibi, Kwenye Chumba Kimoja, Sina Rafiki" | SALAMA NA AUNTY PART 1 в качестве 4k

У нас вы можете посмотреть бесплатно Mfahamu Aunty: "Nimeishi Na Bibi, Kwenye Chumba Kimoja, Sina Rafiki" | SALAMA NA AUNTY PART 1 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:

  • Информация по загрузке:

Скачать mp3 с ютуба отдельным файлом. Бесплатный рингтон Mfahamu Aunty: "Nimeishi Na Bibi, Kwenye Chumba Kimoja, Sina Rafiki" | SALAMA NA AUNTY PART 1 в формате MP3:


Если кнопки скачивания не загрузились НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru



Mfahamu Aunty: "Nimeishi Na Bibi, Kwenye Chumba Kimoja, Sina Rafiki" | SALAMA NA AUNTY PART 1

#SalamaNa #SendTip Through MPESA #5578460 Nikuibie tu siri ya kabatini kuhusu haya mazungumzo yangu na Aunty Ezekiel, kwanza ilikua ngumu sana mpaka alipofika hapa kwenye kiti maana mazungumzo haya yalighairishwa zaidi ya mara tatu mpaka ilipofika siku hii. Kwa imani yangu nisema Mungu ana mipango yake, yaani kila kitu kwa wakati wake na bila ya shaka wakati wa hii ulikua haijafika bado ndo maana haikutokea na kwa kutokea siku hii, huu ndo ulikua wakati sahihi kabisa. Mimi na yeye tunafahamia ki vyetu, si watu ambao tunakutana kila siku ila ni watu ambao tukikutana tuna click tu vizuri na mambo yanaenda. Marafiki zetu wengi pia wanafahamiana kwahiyo tunaenda tu vizuri. Na nia na madhumuni ya sisi kumtaka kwenye kiti chetu ni kwasababu wote tunajua amepitia mengi na kwa yeye kutusimulia kuhusu makuzi yake na mahangaiko yake yanafaa nafasi kwenye kiti chetu. Toka mara ya kwanza kusikia jina la Aunty Ezekiel naamini miaka mingi tu ishapita, kama wewe ni wale wa zamani kama mimi basi utakua unamjua toka miaka ya katikati ya 2000 baada ya kuwa mmoja ya kundi la wasichana wazuri ambao walishawahi kushiriki Miss Tanzania. Kwenye mwaka ambao Aunty alishiriki kulikua na warembo kama Wema Sepetu, Jokate Mwegelo na Irene Uwoya kuwataja tu wachache. Aunty yeye naye alikua kati ya wale waliongia Top 10. Mwaka huo ulikua mwaka wa ushindani sana lakini wengi ambao walimaliza vizuri ndio hawa mpaka leo wanaendelea kufanya vizuri katika nyanja mbali mbali ambazo wao wamezishagua. Aunty sasa ni Mama wa watoto wawili ambao ameniambia ni kila kitu kwake, wanampa sababu ya kutaka kuendelea kuishi na kuwa bora kwao kila wakati, nilimuuliza siku ya kwanza alipompata mtoto wake wa kwanza, na hisia yake ilikuaje, na anakumbuka jinsi ambavyo aligundua ana ujauzito na mara ya kwanza anamshika Cookie mikononi mwake. Aunty pia anakumbuka ‘ujana’ wake na mengi aloyapitia mpaka akawa hivi alivyo leo. Kuna suala la yeye kuwa na mahusiano na wanaume ambao ni wadogo kuliko yeye, au wale ambao alikua nao zamani ambao walikua wakubwa kuliko yeye, Aunty amenielezea maoni yake juu ya hili. Mahusiano yake na Marehemu Mzee wake, Mama yake.. Alivyolelewa na machaguzi ambayo aliwahi kuyafanya wakati anakua na pengine maamuzi mabaya au kama ana majuto katika maisha yake. Kama binadamu kuna baadhi ya mambo yanakua magumu kuwa nayo wazi au kuyaelezea kinaga ubaga, Ila hata kwa haya ambayo tuliongea nae natumai utapata ya kujifunza kupitia yeye. Tafadhali Enjoy. Love, Salama. Support us through https://anchor.fm/yahstonetown/support SUBSRIBE TO OUR CHANNEL https://bit.ly/YahStoneTownSubs Listen our Podcast on Spotify Link https://spoti.fi/2Uxr6Cm‬ ‪ApplePodcast Link https://apple.co/2Ou1bru‬ GooglePodcast Link https://bit.ly/GooglePodcastSalamaNa Audiomack Link https://bit.ly/YahStoneTownAudioMack ‪YouTube Link http://bit.ly/YoutubeSalamaNa Soundtrack Yeah by @MarcoChali    • Marco Chali Feat One The Incredible & Msam...   Follow: Twitter:   / yahstonetown   Instagram:   / yahstonetown   Facebook:   / yahstonetown   Channel Administered by Slide Digital Instagram: www.instagram.com/slidedigitaltz

Comments
  • Jux : 3 года назад
    Jux : "Nilikaa Na Jackie Mwezi Mzima China, Akawa Hapatikani, Sikumuona Tena" | SALAMA NA JUX PT 2
    Опубликовано: 3 года назад
  • YahStoneTown | Salama Na Episodes
    YahStoneTown | Salama Na Episodes
    Опубликовано:
  • AUNTY EZEKIEL :(EP 01) NILITOROKA / NILIKUA MFANYAKAZI ZA NDANI/KUOLEWA BAADA YA DARASA LA 7..... 2 месяца назад
    AUNTY EZEKIEL :(EP 01) NILITOROKA / NILIKUA MFANYAKAZI ZA NDANI/KUOLEWA BAADA YA DARASA LA 7.....
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • Aunty Asimulia Alivyokutana Na Kusah 3 года назад
    Aunty Asimulia Alivyokutana Na Kusah "Alinifuata DM, Alikuwa Anatafuta Chaka" | SALAMA NA AUNTY PT 2
    Опубликовано: 3 года назад
  • Auntie Naa let's do the DNA if the child is mine 13-8-2025 3 месяца назад
    Auntie Naa let's do the DNA if the child is mine 13-8-2025
    Опубликовано: 3 месяца назад
  • АҚТӨБЕДЕГІ БЫЛЫҚ: ЖЕТІМНІҢ ЖАНАЙҚАЙЫ 3 дня назад
    АҚТӨБЕДЕГІ БЫЛЫҚ: ЖЕТІМНІҢ ЖАНАЙҚАЙЫ
    Опубликовано: 3 дня назад
  • Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 1 4 года назад
    Salama Na NANDY Ep 53 | MNOGESHAJI PART 1
    Опубликовано: 4 года назад
  • KILA MWANAUME ATATOKA NJE YA NDOA KWA WAKATI WAKE HADI WANAWAKE WAELEWE HILI? ~ Dr. Elie Wamian 2 месяца назад
    KILA MWANAUME ATATOKA NJE YA NDOA KWA WAKATI WAKE HADI WANAWAKE WAELEWE HILI? ~ Dr. Elie Wamian
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • Msichana Aliyeitwa MCHAWI anamponya MTOTO wa BILIONEA alieshindwa kutembea Kwa miaka 17 #folktales 2 месяца назад
    Msichana Aliyeitwa MCHAWI anamponya MTOTO wa BILIONEA alieshindwa kutembea Kwa miaka 17 #folktales
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • NYUMBANI KWA KUNGWI/KUNA DUKA LA UREMBO NDANI/ANAFAGIA SAA NANE USIKU 1 год назад
    NYUMBANI KWA KUNGWI/KUNA DUKA LA UREMBO NDANI/ANAFAGIA SAA NANE USIKU
    Опубликовано: 1 год назад
  • PHINA: ENI KANIBADILISHIA MAISHA YANGU, SIJAGOMBANA NA D FIGHTER 4 месяца назад
    PHINA: ENI KANIBADILISHIA MAISHA YANGU, SIJAGOMBANA NA D FIGHTER
    Опубликовано: 4 месяца назад
  • Maisha Ya Zuchu Kabla Ya WCB : 3 года назад
    Maisha Ya Zuchu Kabla Ya WCB : "Nilitaka Kuwa Mwanasheria" | SALAMA NA ZUCHU PART 1
    Опубликовано: 3 года назад
  • TAZAMA NEILA MANGA ALIVYOVUNJA MBAVU VIONGOZI WA SERIKALI/ ACHAGUA BWANA STEJINI 6 месяцев назад
    TAZAMA NEILA MANGA ALIVYOVUNJA MBAVU VIONGOZI WA SERIKALI/ ACHAGUA BWANA STEJINI
    Опубликовано: 6 месяцев назад
  • ANAPOISHI CHANUO NCHA KALI/NAISHI NA WATOTO WANGU TU/NILITENGWA NA WATU/UGONJWA WA AJABU 6 месяцев назад
    ANAPOISHI CHANUO NCHA KALI/NAISHI NA WATOTO WANGU TU/NILITENGWA NA WATU/UGONJWA WA AJABU
    Опубликовано: 6 месяцев назад
  • 🔴#live_KUTOKA ARUSHA! UMEONA WANAJESHI WALICHOFANYA MBELE YA RAIS SAMIA, AINGIA NA GARI LA KIJESHI 1 час назад
    🔴#live_KUTOKA ARUSHA! UMEONA WANAJESHI WALICHOFANYA MBELE YA RAIS SAMIA, AINGIA NA GARI LA KIJESHI
    Опубликовано: 1 час назад
  • EXCLUSIVE: CHIDI BENZ AKAA NA MILLARD AYO, ASIMULIA YOTE 2 месяца назад
    EXCLUSIVE: CHIDI BENZ AKAA NA MILLARD AYO, ASIMULIA YOTE "NILIKUWA NALIPWA 4M, WATU WANA ROHO MBAYA"
    Опубликовано: 2 месяца назад
  • AUNTY EZEKIEL : MAISHA NA MURUA  (Ep 3) 1 месяц назад
    AUNTY EZEKIEL : MAISHA NA MURUA (Ep 3)
    Опубликовано: 1 месяц назад
  • Teke La Mama Part 1 & 2 - Jennifer Mgendi, Bahati Bukuku (Official Bongo Movie) 7 лет назад
    Teke La Mama Part 1 & 2 - Jennifer Mgendi, Bahati Bukuku (Official Bongo Movie)
    Опубликовано: 7 лет назад
  • Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1 5 лет назад
    Salama Na Gigy Money Ep 12 | ZILE KHADITHI Part 1
    Опубликовано: 5 лет назад
  • LULU DIVA AANGUA KILIO AKUTANA NA HEMED PHD /KIDOGO WAZICHAPE/WATUKANA NA LIVE MBELE YA WAANDISHI 1 год назад
    LULU DIVA AANGUA KILIO AKUTANA NA HEMED PHD /KIDOGO WAZICHAPE/WATUKANA NA LIVE MBELE YA WAANDISHI
    Опубликовано: 1 год назад

Контактный email для правообладателей: [email protected] © 2017 - 2025

Отказ от ответственности - Disclaimer Правообладателям - DMCA Условия использования сайта - TOS



Карта сайта 1 Карта сайта 2 Карта сайта 3 Карта сайта 4 Карта сайта 5