У нас вы можете посмотреть бесплатно UCHAMBUZI WA CLOUDSFM KUELEKEA AZAMFC vs YANGA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
NBC Premier League leo Jumapili Saa 10:00 jioni, Mbeya City watakuwa uwanja wa Tanzanite Kwaraa wakiwakaribisha Singida BS. Big Match saa 2:30 usiku, AzamFC watakuwa uwanja wa Benjamin Mkapa wakiwaalika Yanga SC. Je, ni matajiri wa jiji ama Wananchi nani kuondoka na alama tatu katika derby hii ya Dar es Salaam? "Mpira ni mchezo wa Fair na sio kwaajili ya timu moja. Hii mechi tulipaswa kucheza Chamazi. Tutacheza mechi zote mbili Benjamin Mkapa ambao ni uwanja wa nyumbani wa Yanga. Wana nafasi ya kushinda kwasababu wapo nyumbani ila hatulalamiki, tutacheza na kujaribu kushinda" Florent Ibenge - Kocha Mkuu wa Klabu ya Azam FC 🗣“Tutacheza kwenye mazingira ambayo hatujayazoea kwa muda, tangu niwe kocha wa Yanga hii ni mara ya kwanza kucheza uwanja wa Benjamin Mkapa, tunakutana na timu ngumu zaidi kwenye ligi na timu imara sana." PEDRO SOARES- Kocha Mkuu wa Klabu ya Yanga. #azamfcvsyanga #yangavsazamfc #banyaleotv