У нас вы можете посмотреть бесплатно Rehema Simfukwe - Maji Jangwani (Live Music Video) или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
"Tazama, nitatenda neno jipya; sasa litachipuka; je! Hamtalijua sasa? Nitafanya njia hata jangwani, na mito ya maji nyikani. Wanyama wa kondeni wataniheshimu, mbweha pia na mbuni; kwa sababu nimewapa maji jangwani, na mito nyikani, ili kuwanywesha watu wangu, wateule wangu" Isaya 43:19-20 Huyu Mungu ambaye tunamwabudu anaweza kutoa chochote mahali ambapo hakuna matumaini ya kutoa chochote kilicho chema! Eneo lililokatiwa tamaa (Jangwani) Mungu anaweza kulipa neema/kibali chake na chemchemi za maji yaliyo hai zikatoka ndani yake, Asali tamu inaweza kutoka kwenye MZOGA, Walio mavumbini wanaweza kupandishwa JUU na kuketishwa na WAKUU. Kupitia wimbo huu MUNGU wa YASIYOWEZEKANA anakwenda kubadilisha MAJAGWA NA KUZALISHA CHEMCHEM ZA MAJI YALIYO HAI kwenye maisha ya watu. MAJANGWA YATAGEUKA KUWA MISITU YENYE UKIJANI MWINGI. "Augeuza mwamba kuwa ziwa la maji, Jiwe gumu kuwa chemchemi." Zaburi 114:8 Maji Jangwani Live Recorded at FAVOUR- MAJI JANGWANI Project - Kenton Grounds, D'Salaam Tanzania. Special Appreciation to this amazing people; Music Director - Samuel Yonah @samyonah.tz Video Director - Amigo Johnson -@amigojohnson Audio Captured by HaddyPro - Audio Mastered/Mixed by Samuel Yonah - @samyonstudios Lyric interpreter @_venisia Zephaniah The BAND (Vocals&Musicians) - Team Halisi MD/Arranger|MainKeyz: @samyonah.tz Drums: @kiondopro_28 Bass: @topbeyz Guitar 1: @officialbenjamin_kaz Guitar 2: @josh_fundy Acoustic🎸: @bezalelmwandete Aux 1 (Synth Lead,Marimba,Organ): @macshield Aux 2 (Strings//synth pad): @fred_yonah - Alfred Yonah Aux 3 (flute /Bells): @nasamwa_keys BACKVOCALS : (Soprano) @jenniferulomy @annamasero_ @markybeyz @jocylinekato (Alto) @lizblecng @its_marylin3 @nejamaly @sarahjohnmenas (Tenor) @minister_richardjr @joshualugendotz @haggaimic @georgesangiza LIVE SOUND: Live Audio Engineer FOH: @gadi_sl 🔥 MonitorBvs/MonitorLVs&Music: @b_ngowi Lights Engineer @fado Make-up @shatafrika Rehema's outfit @dinnah_outfit Ladies: @jujustitsches FOH Sound & Backline equipments & Stage @haddypro_co_ltd Decoration @simplyspecialevents LED Screen @hurumacharles Artworks @sgraphicstz Video clips/Teasers @director_blesser Administer by @hurudigital