У нас вы можете посмотреть бесплатно SAMEER MURJI AZINDUA SHINA LA CCM NALINGU MTWARA | APOKEA 16 WALIOHAMIA CCM | AGAWA JEZI. или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Mjumbe wa baraza kuu la umoja wa vijana CCM Taifa ambaye pia ni Mjumbe wa halmashauri kuu CCM mkoa wa Mtwara Sameer Murji, amefanya uzinduzi wa shina la umoja wa vijana CCM kata ya Nalingu halmashauri ya wilaya ya Mtwara. Uzinduzi huo umefanyika Novemba 23, 2024 katika kata hiyo ya Nalingu, ambapo uzinduzi huo umechagizwa na kupokea wanachama wapya kutoka vyama vya upinzani na kujiunga na chama cha Mapinduzi CCM. Wanachama hao wapya wapatao 16 wameshudiwa wakikabidhi kadi zao za vyama vya upinzani mbele ya mgeni rasmi wa hafla hiyo Sameer Murji. USIACHE KUSUBSCRIBE CHANNEL YETU ILI KUPATA HABARI ZETU