У нас вы можете посмотреть бесплатно WAZIRI wa UVUVI ZANZIBAR ASHUHUDIA KONTENA za SAMAKI SOKO la FERI - "WANANCHI CHANGAMKIENI KITOWEO" или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Waziri wa Uchumi wa Buluu na Uvuvi Zanzibar, Suleiman Makame amesema kuwa Serikali kwa kushirikiana na Kampuni ya Pacific Star, Kampuni ya Tuna Ltd na kampuni tanzu ya Albacora ya nchini Uhispania wameshusha tani 60 za samaki ambazo walikubalia kuvua kwa ajili ya Watanzania. Amesema kuwa katika masharti ya mkataba wanaweza kuongeza tani hapa nchini ambazo zitakwenda kuwa kunufaisha Watanzania kwenye chakula. “Awamu ya kwanza walishusha tani 26, awamu ya pili walishusha tani 25 na leo zimeletwa tani 60 hii ni mali ya serikali Makubaliano yetu yameleta matunda na kuonesha namna uvuvi wa bahari kuu unavyotakiwa kuwa na niwashukuru wenzetu wa Pacific Star kwa kutekeleza ahadi ambayo wameweka..." ⚫️ SIKILIZA + 255 GLOBAL RADIO LIVE: http://ndstream.net/globalradio/ ⚫️ Kwa UPDATES zote, Download GLOBAL APP: ⚫️ ANDROID:http://bit.ly/38Lluc8 ⚫️ iOS:https://apple.co/38HjiCx ⚫️ VISIT COMEDY PLAYLIST: • GLOBAL COMEDY/MOVIES ⚫️ JE, NA WEWE UNA HABARI? ⚫️ WASILIANA NA GLOBAL TV ONLINE: ( +255 713 750910), ( +255 783453136) ⚫️ Email: globaltvonlinenews@gmail.com OR abbymrisho@gmail.com ⚫️ OUR PLAYLISTS: ⚫️ MICHEZO na BURUDANI: • Habari zote za michezo na Burudani Tanzania! ⚫️ HISTORIA ZA VIONGOZI ZA KUSISIMUA: http://bit.ly/mikasa_ya_kusisimua ⚫️ GLOBAL RADIO TV: http://bit.ly/255globalradio ⚫️ EXCLUSIVE INTERVIEW: http://bit.ly/exclusive_interviews ⚫️ Subscribe Global TV http://bit.ly/globaltvonline