У нас вы можете посмотреть бесплатно SERIKALI IMEENDELEA KUCHUKUA HATUA ZA MAKUSUDI ZA KUIMARISHA UHURU WA MAHAKAMA или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Makamu wa Rais wa Jamhuri ya Muungano wa Tanzania, Mhe. Balozi Dkt. Emmanuel Nchimbi, amesema kuwa Serikali inaendelea kuchukua hatua za makusudi kuimarisha uhuru wa Mahakama ili kuiwezesha kutekeleza wajibu wake kikamilifu. Akimwakilisha Rais Dkt. Samia Suluhu Hassan katika Maadhimisho ya Siku ya Sheria jijini Dodoma, ameeleza kuwa hatua hizo zinalenga kuchochea ustawi na maendeleo ya Taifa kupitia ujenzi wa miundombinu, kuimarisha rasilimali watu, na kusogeza huduma za haki karibu na wananchi kupitia ujenzi wa Mahakama za Mwanzo katika kata zote nchini.