У нас вы можете посмотреть бесплатно Familia moja Bibirioni, Kiambu yaomba msaada wa shilingi 4.5M za matibabu ya figo ya mpendwa wao или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Familia moja katika eneo la Bibirioni, kaunti ya Kiambu inatoa wito wa msaada wa kifedha wa shilingi Milioni-4.5 zitakazofanikisha upandikizaji wa figo wa mpendwa wao. Jonathan Kimani Waroja, mwenye umri wa miaka-21, aligunduliwa kuwa na matatizo ya figo mwaka-2024, hali ambayo baadaye ilidorora na kusababisha figo yake kukosa kufanya kazi mwezi Disemba mwaka uliopita. Ni hali ambayo imempa mahangaiko tele kwani anategemea matibabu ya usafishaji damu mara mbili kila wiki ili aweze kuishi. Madaktari wamemshauri kufanyiwa matibabu hayo ya dharura kama suluhu ya kudumu kwa hali yake. Connect with KBC Online; Subscribe to our channel: https://t.ly/86BKNc Follow us on Twitter: https://twitter.om/KBCChannel1 Find us on Facebook: / kbcchannel1tv Check our website: https://www.kbc.co.ke/ #kbcchannel1 #news #kbclive