У нас вы можете посмотреть бесплатно Usikose Hizi Fadhila za Sadaka! Mafundisho ya Sheikh Nassoor Bachu или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Katika mawaidha haya mazito, Sheikh Nassoor Bachu anaelezea kwa kina fadhila za kutoa sadaka kwa ajili ya Allah (S.W). Sadaka si kupunguza mali, bali ni kuiongeza baraka, kuondoa misiba, na kufuta madhambi. Allah (S.W) anasema: “Mfano wa wanaotoa mali zao katika njia ya Allah ni kama chembe iliyoota masuke saba, katika kila suke kuna mbegu mia...” (Surat Al-Baqarah 2:261) Katika video hii utajifunza: ✔️ Namna sadaka inavyoongeza riziki ✔️ Jinsi sadaka inavyokinga na mabalaa ✔️ Faida za sadaka kwa siri ✔️ Kwa nini tusidharau kutoa kidogo Tazama hadi mwisho ujifunze namna ya kuwekeza Akhera yako kupitia sadaka. 🔔 Subscribe kwa mawaidha zaidi ya kumcha Allah 👍 Like na share ili ujumbe uwafikie wengine