У нас вы можете посмотреть бесплатно 🔴 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
#uimbaji #sabatonjema #uimbaji #sabatomchana #makambi Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge linakualika katika Makambi Music Worship Edition 1 — Ibada ya kipekee ya sifa, shuhuda, na uimbaji mkuu kuelekea maandalizi ya Makambi Mwenge 2025. Tarehe: Jumamosi, 23 Agosti 2025 Muda: Saa 9:00 Alasiri – Saa 12:00 Jioni Mahali: Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge Tutabarikiwa na huduma ya waimbaji maalum: Solo Artist: 1. Asha Majura 2. Anitha Binagi 3. Caleb Gerald Kwaya 1. Gospel Light Tz 2. Mwananyamala SDA Church 3. Kwaya 10 za Kanisa la Mwenge SDA. Kanisa la Waadventista wa Sabato Mwenge @mwengesdachurch linawakaribisha waabudu wote katika Ibada maalum ya Kufungua Sabato hii, ikiwa Tamasha la Uimbaji la ''Big Heavenly Experience!" - Season 3 na Tucasa DIT Ukiwa na swali, uhitaji wa maombi, ubatizo wasiliana na Mchungaji. Rahisi Mande +255 677 048 049 Kama una ushauri au malalamiko kuhusiana matangazo yetu karibu kuwasiliana nasi kwa simu, meseji au WhatsApp kwa namba +255 713 999 611 au barua pepe live@mwengesdachurch.or.tz au sdamwenge@gmail.com SADAKA YA MAJENGO Unaweza pia kutoa SADAKA ya MAJENGO kupitia Mpesa, LIPA namba: 5786348 , Jina: MWENGE SDA CHURCH (MAJENGO), kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 757 579 301 (Mhazini wa Kanisa- Elijah Pesambili). SADAKA ya MAJENGO: CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 501, Jina: SDA Church Mwenge MAJENGO, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 757 579 301 (Mhazini wa Kanisa- Elijah Pesambili). ZAKA & SADAKA Unaweza pia kutoa ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia Mpesa, LIPA namba: 5810262 , Jina: MWENGE SDA CHURCH, kisha kutuma ujumbe kwa WhatsApp no: +255 757 579 301 (Mhazini wa Kanisa- Elijah Pesambili). Unaweza kutoa pia ZAKA na SADAKA mbalimbali kupitia CRDB Bank Acc no: 015C 493 232 500, Jina la Account: SDA Church Mwenge, Mlimani City Branch, kisha kutuma slip kwa WhatsApp no: +255 757 579 301 (Mhazini wa Kanisa- Elijah Pesambili). Mungu akubariki. Karibu ku-SUBSCRIBE ili uwe sehemu ya wengi wanaobarikiwa: https://bit.ly/SUBSCRIBE-Now, watumie na marafiki pia. Karibu pia kutembelea, ku-follow, ku-Like na ku-Comment kwenye: Tovuti yetu: www.mwengesdachurch.or.tz Facebook Page: Mwenge SDA Church Live Instagram: mwengesdachurchlive TikTok: Mwenge SDA Church Mungu akubariki.