У нас вы можете посмотреть бесплатно Aina/Niche Saba (7) za Graphics Design, Chagua na Ujifunze zinalipa или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Website yetu: https://joelmediaeducation.com/ TANZU/NICHE ZA GRAPHICS DESIGN UNATAKIWA KUJIFUNZA Graphics Industry ina nafasi kubwa sana katika kufanya mtu kudevelop Career yake na kufanikiwa, ila Industry ni kubwa na ina vitu vingi sana ili kufanikiwa katika Industry hii ni vema Kuchagua Niche moja na kuifanyia haki kwa kujifunza ipasavyo. Kama Designer baada ya kuwa na general knowledge katika Graphics kufahamu matumizi ya softwares pamoja na Design principles ni wakati sahihi kwa Designer kuamua kuchagua niche na kujifunza zaidi ili kuwa expert katika eneo moja. Katika Video hii nimechambua na kueleza Tanzu/ Aina saba za Graphics Design unazoweza kuzifanya na kudevelop ujuzi ili kufikia malengo yako. tazama Video hii utajifunza. Acha maoni yako katika sehemu ya comment, share na wengine wajifunza, like na Subscribe ili uendelee kujifunza zaidi kupitia chaneli yetu. Premium Courses: https://joelmediaeducation.com/ Follow me on Instagram: / joelmedia_ Instagram: Facebook: / joelkadagaz Email: [email protected] 0:00 - Intro 1:34 - Logo Reveal 1:38 - Utambulisho 2: 01 - Mambo ya kuzikatia unavo chagua niche za Graphics Design 3:35 - Niche ni nini? 4:58 - Niche ya kwanza 8:47 - Niche ya pili 11:21 - Niche ya tatu 13:25 - Niche ya nne 16:25 - Niche ya tano 17:17 - Niche ya sita 18:12 - Niche ya saba 19:55 - Recap 22:55 - Mafunzo (www.joelmediaecation.com) 23:03 - End screen