У нас вы можете посмотреть бесплатно KARMA - || Episode 2 || Ramadhan Inafichua Siri za Nafsi | Tamthilia ya Kiswahili или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
TAMTHILIA: KARMA EPISODE 2 - RAMADHAN SPECIAL: MAJARIBIO YA MOYO Katika sehemu hii ya pili ya Tamthilia ya karma, hadithi inaingia ndani zaidi ya vita vya nafsi, dhamira na majaribu ya Ramadhan. Salum anaendelea kuwa Sauti ya hekima na tafakari, akiwakumbusha walio mzunguka kwamba Ramadhan si njaa tu bali ni kioo kinacho tuonyesha ukweli wa nafsi zetu. Amina anapambana na vita vya ndani kati ya Imani na udhaifu wa kibinadamu. huku juma akianza kukabili Sauti ya dhamiri yake inayo msumbua kila anapo jaribu kuikimbia. Kardhir siku za Ramadhan zinavyo endelea, Kila muhusika anakutana na maamuzi magumu, majaribu ya moyo, na maswali ambayo hayaweze kukimbizwa milele. je, mtu anaweza kukimbia dhamiri yake? je, rehema ya Mungu ina mipaka? Na je, Ramadhan kubadilisha moyo ambao umezoea kujitetea? sehemu hii inaleta sehemu kubwa wa kihisia, mafunzo ya maisha, na ujumbe mzito kuhusu Toba, nafsi na mabadiliko ya kweli. 🔥 Hii si hadithi ya watu wa kamilifu - ni hadithi ya watu wanao jaribu. 🎬 Usisahu: 👍 Like 💬 Comment 🔔 Subscribe kwa sehemu Zinazofuata za tamthilia KARMA. #karmaseries #tamthiliazakiswahili #swahilidrama #ramadhanspecial #africandrama #trendingseries #swahiliseries #viraldrama #mustwatch