У нас вы можете посмотреть бесплатно 🎙️ Ukweli Usioambiwa Kuhusu Pesa:Jinsi ya Kutengeneza Utajiri Kutoka Chini 🤯!¡ или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Watu Wengi Wanafanya Kazi Kwa Bidii Maisha Yao Yote Lakini Bado Hubaki Pale Pale Kifedha.Kwanini?,Kwasababu Kuna Ukweli Fulani Kuhusu Pesa Ambao Hauambiwi Shuleni,Nyumbani,Au Kwenye Ajira Zako. Katika Hideo Hii Ya Dakika 4,Utagundua Siri Tano Kuu Ambazo Wachache Wanazijua Kuhusu Pesa Na Uhuru Wa Kifedha: 1️⃣ Mishahara Imeundwa Kukuweka Salama,Sio Kukutajirisha. 2️⃣ Mfumo Wa Elimu Hukukandamiza Kwa Makusudi – Ulitengenezwa Kukuandaa Kuwa Mfanyakazi,Sio Kuwa Tajiri. 3️⃣ Pesa Huenda Kwa Wenye Ujasiri Wa Kujaribu,Sio Kwa Wenye Hofu Ya Kupoteza. 4️⃣ Utajiri Unatokana Na Tabia Ndogo Za Kila Siku,Sio Miujiza Ya Ghafla. 5️⃣ Utajiri Wa Kweli Sio Pesa,Bali Ni Uhuru Wa Kimaisha. 👉 Hii Siyo Makala Ya Kawaida Ya Pesa.Ni Ujumbe Wa Kubadilisha Fikra Zako,Kuvunja Iongo Ulioaminishwa Kuhusu Fedha,Na Kukupa Msukumo Wa Kuianza Safari Yako Ya Kujenga Utajiri Kutoka Kwenye Sifuri. Kumbuka Kuwa:Utajiri Huanzia Kichwani Mwako Kabla Haujaonekana Mfukoni Mwako. Amua Leo,Chukua Hatua,Na Ujenge Maisha Yako Mapya Ya Kifedha. #motivation #ukweliwapesa #utajirikutokachini #kifedha #maisha