У нас вы можете посмотреть бесплатно MAKALA YA KISUNZI CHA NJAA MARSABIT или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
Kaunti ya Marsabit imeendelea kukumbwa na misukosuko ya njaa na ukame kwa miaka mingi. Katika makala haya, tunakupeleka moja kwa moja hadi maeneo yaliyoathirika zaidi kama North Horr, Laisamis, Saku na Moyale ili kusikia sauti za wananchi wanaoishi katikati ya janga la chakula na maji. Researched, Scripted & Narrated by: Caroline Waforo Kupitia simulizi za wakazi, wachambuzi na taarifa za NDMA, tunahoji: Kwa nini Marsabit hutangazwa kuwa katika hali ya dharura kila mara? Serikali imefanya nini – na haijafanya nini? Je, suluhu ya kudumu ipo au Marsabit itaendelea kutegemea misaada? #KisunziChaNjaa #Marsabit #Ukame #NjaaKenya #MakalaYaUchunguzi #NDMA #ClimateCrisis #PastoralistVoices #CarolineWaforo #JournalismForChange