У нас вы можете посмотреть бесплатно BASATA yabariki ndoa ya BSS, Azam Media | Next Level Revolution 2025 или скачать в максимальном доступном качестве, видео которое было загружено на ютуб. Для загрузки выберите вариант из формы ниже:
Если кнопки скачивания не
загрузились
НАЖМИТЕ ЗДЕСЬ или обновите страницу
Если возникают проблемы со скачиванием видео, пожалуйста напишите в поддержку по адресу внизу
страницы.
Спасибо за использование сервиса ClipSaver.ru
UZINDUZI WA BSS 2025/26 | #NextLevelRevolution Mkurugenzi Msaidizi wa Ukuzaji na Maendeleo ya Sanaa kutoka @basata.tanzania, Kelvin Sotery akizungumza kwa niaba ya baraza, muda mfupi baada ya hafla ya utiaji saini mkataba wa makubaliano baina ya Benchmark wamiliki wa BSS pamoja na Azam Media Ltd. BSS inatarajiwa kuanza kusaka vipaji kwenye mikoa mbalimbali mwezi Novemba mwaka huu, huku burudani kamili ikitarajiwa kuanza Desemba 21, 2025 kila Ijumaa na Jumamosi saa 2:00 usiku hadi saa 2:30 usiku na Jumapili saa 2:00 usiku hadi saa 3:00 usiku kupitia #SinemaZetuHD #HarusiYaBurudani #Code16 #SinemaZetuHD #HakikaNiZaKwetu #AzamTV